![]() |
| Evarist na Edna safi sana hakika mlipendeza sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Safi hakika nimekubali hizi pamba. Kwanza suti ya bwana harusi pili hili gauni la Edna. |
![]() |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao |
![]() |
| Hakika Edna umelitendea haki gauni |
![]() |
| Upendo kwa Dada. |
![]() |
| Nimekubali hili swagga |
![]() |
| Evarist akimtandika pingu Edna |
![]() |
| Edna akimtandika pingu Evarist |
![]() |
| Kanisa waliko fungia pingu zakuishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe |
![]() |
| Pingu |
![]() |
| Keki |
![]() |
| B Band walikuweko |
![]() |
| Wadau muhimu safi sana |
![]() |
| Mambo ya msosi yalikuwa simchezo |
![]() |
| Hakika ulikuwa ni usiku wakipeke. Full Shangwe |
![]() |
| Nimelikubali hili swagga |







































hakika walipendeza sana. nimependa gauni ya Edna. niulizie kama ana allow for hire, tafadhali!
ReplyDeleteNdio ninalikodisha mydear usijali ukiwa tayari let me know tu utalipata...
ReplyDelete