 |
| Hakika Janeth alitokelezea. safi sana |
 |
| Nice |
 |
| Hakuna atakayebisha kuwa Janeth alilitendea haki hili gauni lake. Safi sana |
 |
| Janeth akiwa na Matron wake. |
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
 |
| Nice |
 |
The Girls. Dah Kwa kweli mlitokelezea. Atakaye bisha atakuwa anatatizo la akili
|
 |
Dada zangu mlijipanga. Sipati picha jumamosi itakuwaje!!!!!
|
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
 |
| Kama kawa Glam madam alimtendea haki Janeth |
 |
| Nice |
 |
| Dah nimekubali hi keki |
 |
| Hakika mpambajialiutendea haki ukumbi wa Danken |
 |
| Janeth kidogo angezimia baada ya kumuona mume wake mtarajiwa . Chezea mahaba niuweee!!. Safi sana |
 |
| The first kiss |
 |
| Janeth akimtambulisha mchumba wake. safi sana |
 |
| Jamani Mwisho wakunuku. Chakula bado hata hakijawekwa jikoni. |
No comments:
Post a Comment