GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 14, 2014

Magreth Ladies Party. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Mwenye macho haambiwi tazama, hakika Magreth alitokelezea


Nice

Duu! Safi sana

Hakika Magreth alilitendea haki gauni lake. Safi sana

Safi sana Mama wa shuhuli. Naomba ufungue kampuni ya Event planing and management. Maana naona kipaji chako haukitendei haki!!! 


Kama kawaida Dada Maznat alimtendea haki Magreth

Dah nimeipenda hii picha


Nice


Swagga ndani ya Maznat Bridal care-The Kochiezzzzzzzz


 Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more


Jamani Mwisho wakunuku. Chakula bado kiko jikoni