GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, November 18, 2014

Ikunda Night Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Ikunda alipendeza sana.


Safi sana

Nimekubali hili gauni la Ikunda na kweli kalitendea haki 


Swagaa la lee zee pinguzzsssss. Safi sana. nimekubali hiyo pingu. mwenye macho haambiwi tazama


Ikunda akiwa na Matron wake


The Team 

Nice


Duu safi sana.NiceKwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more

Kama kawa Glam madam alimtendea haki Ikunda

Ikunda akiwa na mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Safi sanaNice


Keki