GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, November 20, 2014

Catherine Kavishe Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Catherine alipendeza sana.

NiceDuuu hakuna atakayebisha kuwa Catherine alilitendea haki gauni lake. Safi sana- Miss Kilimanjaro!!!!


Nice


Catherine akiwa na Matron wake

Safi
Lee Matron
Catherine akiwa na Mume wake mtarajiwa. Safi sana. Mambo yakienda kama yalivyopangwa basi mpaka wiki ijayo watakuwa ni Mr and Mrs


Bestman na Matron. Mpaka nakwenda mitamboni sijajuwa kama bestman na matron wako kikazi au ni full Mr and Mrs

Nice

The team
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mirado

Dah Nimeikubali hii keki

Mc Luvanda alikuwa ndani ya nyumba
Pendeza sana dada Teddy. Sasa jumamosi sindio utafunika kabisa!!!!????


Dah safi sana leee Swagaaazzzz

Kaka akipongezwa na ndugu jama na marafiki. Kweli Kavishe-Kipara alifanya kazi. Safi sana. 

Mwisho wa kunuku. Chakula hata hakijawekwa jikoni!