GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, November 13, 2014

Beatrice ladies party. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!




Hakika Beatrice alitokelezea. safi sana



Swaggaa

Safi sana. Nimekubali hili gauni na haki imetendeka



Safi sana Beatrice akiwa na dada J


Nice
Upendo kwa mama







nimekubali hili swagaa


Kama Kawaida Glam Madam alimtendea haki Beatrice







 kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more







Keki


Beatrice akikabidhiwa zawadi. safi sana. kweli nimewakubali marafiki na ndugu wa Beatrice







Jamani mwisho wakunuku