GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 29, 2013

The Wedding of Vyuvian and Delphina. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Vyuvian and Delphina. Safi sana hakika walipendeza sana


Nice


Safi sana

                          
 Kwa maswagga zaidi zama hapa
Hakika Delphina alilitendea haki gauni lake la harusi

Swagga la Baba mwenyenyumba

Nice

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Marton

The Girls

PinguNdafuJamani Mwisho wakunuku. Kwa niaba ya GRM Production nawatakia maharusi hawa maisha mema yenye Furaha,  Amani na Upendo.