GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 22, 2013

Onja kidogo! Maandalizi ya Miss Dar Ciry Center 2013

Muda si Mrefu nitawaletea maswagga ya washiriki wa Miss Dar city center 2013. Jana tulifanya Photoshoot


Washiriki wakitowa swagga na mtaalamu wa mambo ya urembo na vipodozi Rehema. Dada Rehema ndiye aliyewapamba warembo

Kijana wangu akiwa kazini

Nikiwa kazini

Chakula bado kiko jikoni nitakileta soon. Miss Dar City Center itafanyika tarehe 1-6-2013