 |
Tibe and Hellen hakika walipendeza sana |
 |
Nice |
 |
Safi |
 |
Hakika Hellen alilitendea haki gauni lake la Harusi |
 |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron |
 |
The Girls |
 |
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa mlimani city |
 |
Dah Nimekubali hi keki |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
 |
Nice |
 |
I love this pix. Flash mpaka ikatowa moshi. |
 |
Ukumbi wa Mlimani city |
 |
Tibe na Hellen jinsi walivyokuwa wanauona ukumbi. |
 |
Mama Mzazi wa Tibe Mheshimiwa Dr G Lwakatare akisalimia wageni waalikwa. |
 |
Dah Nimekubali hizi pamba mheshimiwa. Safi sana. |
 |
Jamani Mwisho wa kunuku |
No comments:
Post a Comment