GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 1, 2013

Levynah Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Dah Hakika Levynah alipendeza sana

NimekubaliHakika Levynah alilitendea haki gauni leke. Safi sana mwanamke kujipanga


Levynah akiwa na Matron wakeLevynah akitowa swagga na Mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Safi sana

The team


Dah Nimekubali hi keki. Safi sana


Nice


Kwa Maswagga zaidizama hapa kwenye Read MoreThe Girls 


Kama kawa Glam madam alikuwa mitamboniSwagga la cheza na kioo. Safi sana

Nimeikubali hi pichaDah !jamani, walipendeza sana. 


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi


Keki


Jamani Mwisho wakunuku. Wadau wa GRM Production nawatakia weekend njema