GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, January 25, 2012

The Wedding of Zeno and Asnath. Na beep kidogo tu chakula bado kiko jikoni!

Zeno akiwa na my wife wake Asnath Safi sana

Hakika walipenzeza sana



Dah Mwanamke nywele! safi sana









Hakika Asnath alilitendea haki hili gauni lake dah safi sana



Safi baba




Nimekubali hili swagga



Kanisa walipofungia pingu



Pingu


Baada maharusi kutandikana pingu basi Mheshimiwa Balozi  aliwapongeza. Safi sana. Kama sijakosea  'mwezi wa asali' utakuwa Ufaransa

Pingu


Dah hi keki simchezo. Hapa ni mambo ya dada Monica na Bwana harusi-Zeno. Jamaa pia ni mtaalamu wa mambo ya Maakuli!

First Dance


Janami Mwisho wa kunukuu!

4 comments:

  1. mmh nimeipenda hii, hiyo design ya keki si mchezo,colour combination za hao ma maids nimezipenda na hiyo nguo ya bi harusi vipi inakodishwa? nice

    ReplyDelete
  2. Very unique, nimependa Kheki, upambaji wa gari, colours of the wedding.
    GRM PRODUCTION uko juu, i like your work.Keep it up
    Mdao from Arusha

    ReplyDelete
  3. U guys look amazing!!! (handy n cute u R)
    Congrats Zeno n Asnath n frankly speaking u have heated the headlines!!!
    Kudos GRM,u have a good pice of work (will always recommend ur undoubtful talent)
    Kindly hit us with some more pictures
    Ustunyme uhondo yakheee
    Cheers!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. the wedding was goooood,msosi,vinywaji,mapambo yalikua sio mchezo,dah na gauni la harusi lilikua bomba nikioa nitaazima GRM mnazo namba za maharusi?

    Big up GRM

    ReplyDelete