GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, January 2, 2012

GRM Production New Office 2012

Jamani napenda kumshukuru Mungu pamoja na wadau wote kwa ujumla kwa kutupa support. Bila nyie GRM isingekuwa hapa ilipo. Tumeweza kuhamia kwenye jengo letu wenyewe. Aksanteni sana . Location yenyewe ni mbele kidogo kama M 10 toka pale kwenye ofisi za zamani. 

Office kwa njee


Car Parking  ipo ya kutosha

Office yangu. bado napangapangaOffice Nyingine

Editors office


Office ya wapiga picha. Wako rafuuu ila nitapambana nao tuuu.

GRM New studio ila bado haijamalizikaReception- Bado haijamalizika. Mdogomdogo