GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, January 18, 2012

The Wedding of Adonias and Hellen. Na beep Kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri

Adonias and Hellen. Safi sana hakika mlipendeza sana


Nice

Safi sana hakika ulipendeza sana


Mhh safi sana


Hellen akiwa na Matron wake.

The Girls. Safi sana
Upendo kwa wazazi

Hakika Hellen ulilitendea haki gauni. Safi sanaBest man na Matron wakitowa swagga
Pingu-Adonias akimtandika pingu Hellen


Hellen akimtandika pingu AdoniasMaharusi wakitoka kanisani baada ya kutandikana pingu. Grm inawatakia maisha mema yenye Furaha, Amani na Upendo