GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, January 16, 2012

Dah Sijui nianzie wapi kuwaomba msamaha wadau wa GRM Production!

Dah Kwaniaba ya GRM production na mimi binafsi naombeni msamaha kabisa kwa kutokuwa hewani. Sasa tumerudi full kweli  na tunauanza huu mwaka 2012 kwa kishindo!