GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, October 3, 2013

The wedding of Innocent and Tabby. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Inno and Tabby hakika walipendeza sana

Safi sana

Nimekubali Suti ya Inno. Safi sana

Hakika Tabby alilitendea haki gauni lake. 
Nimekubali hili gauni la Tabby. Kweli alijipanga.


Duu safi sana.


Nice


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao -Bestman and MatronTabby akitowa swagga na Matron

The Girls


'Swagga hatarishi'. Hi ni picha ya mwisho kwa innocent kuonekana akiwa na warembo pekeyake bila Tabby kuweko. 


Ruka juuuuuuuu
Nice

Ruka JuuuuuuuuuHapa nimejikubali mwenyewe

Safi
Harusi ilifanyika katika ukumbi wa Diamond VIP hall. hakika Mpambaji Pacodeko aliutendea haki ukumbi.

Dah nimeikubali hi keki. Wakati nafunga pingu zamaisha mimi hakukuwa na keki kama hii. Sasa kwakuwa next week nitakuwa nimezaliwa(au nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa) basi nitajinunulia keki hi. Kwani kunakosa, au nitakuwa nimevunja mila yeyote???Raha jipe mwenyewe. kila siku nazipiga picha tuu. hakuna andunjeeee!!!!! 'Uwezo ninao, niya ninayo, sababu ninayo'


Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More


Swagga


Safi. Nimejikubali


Tabby akiwa saloon kwa Glam MadamNiceSwagga la Kucheza na Viooo
Nikiwa Kazini


GRM Pro huwa tunapenda kupiga picha  details ndogondogo . Sikuhizi maharusi wanajipanga sana na kama mpiga picha usiponuku details basi utakuwa haujamtendea haki bi harusi au maharusi.

Kitu cha Tanzania
Nikitowa swagga na Bi harusi
Nikajiphotoa na mimi. Swagga la Kioooo

Nimekubali hili swagga. Tabby nazani hiligauni inabidi ulikodishe. Kuna maharusi wameshaanza kuliulizia.


The wedding Song. Tabby akimuimbia wimbo mume wake Innocent . Hakika wanapenda sana. Safi sanaPingu zikitowa SwaggaMambo ya PacodecoKekiSafi sana Hakika Inno and Tabby walijipanga. na kama mpiga picha lazima unuku hizi details


Jamani Mwisho wa kunuku. Kwaniaba ya GRM Production nawatakia maharusi hawa maisha mema yenye furaha, amani na Upendo.