| Hakika Violeth alipendeza sana. |
| Nice |
| Hakika Violeth alilitendea haki gauni lake |
| Ukipendeza lazima utatabasamu |
| Safi |
| Nimelipenda hili Swaggaa |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye Read More
| Kama Kawa Dada Maznat alimtendea haki Violeth |
| Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi |
| Nimekubali hii keki |
| Zawadi |
| Violeth akiingia ukumbini. |
| Mc wa shuhuli -Mc Ndimbo. Safi sana |
| Mwisho wa kunuku |
No comments:
Post a Comment