GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, May 20, 2016

The Wedding of Fadhili and Maria. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Fadhili na Maria walitokelezea. Safi sana

Safi
Swagga


Swagga la baba mwenye nyumba

Bestman na Matron


Hakika Maria alilitendea haki gauni lake la Harusi


The Girls

The Team


Swagga la ki Diamond Platnum zaidi

nimekubali hili swagga la aksante baba


 Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
Upendo kwa wazazi
Maharusi wakiingia ukumbini
Keki

The first danceNice

Mwisho wa kunuku!