GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, May 2, 2016

The Wedding Of Kanty and Edith. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Kanty na Edith walitokelezea. Safi sana

NiceSafi
The First 'Kiss'

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron

The Team
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Kanty ni mtaalamu wa mambo ya Ac-Kipupwe. Yani ni fundi aliyebobea. Sasa kapata jiko inamaana majukumu yameongezeka. Sasa kuna gari iliaribika wakati maharusi wanatoka kanisani. Basi Kanty alivyoona akashuka kwenye gari yake akaingia kazini. Ilikuwa kazi ngumu kumuambia Kanty kuwa leo ni siku yako ya harusi wacha dili ipite maana  alianza kuuliza  nani ana spana number 12  @ kweli hapa kazi tuu
Nimekubali swagga la mzee wa sauti


Pingu

Upendo kwa wazazi


Kama Kawa Mpambaji aliutendea haki ukumbi


Maharani wakiingia ukumbiniNdafu
Mwisho wa kunuku.