GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, April 29, 2016

Nyerere Bridge. Uzinduzi wa Daraja la Kigamboni


Mhe DKT John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais John Pombe Magufuli akimtumbua mkurugenzi wa Jiji wakati wa uzinduzi









 Mayor wa Jiji akisalimia wananchi waliokuja kushuhudia uzinduzi wa Daraja




Kweli Mheshimiwa Rais alitokelezea. Safi sana

Ukika na Mheshimiwa na ukaweza kumfanya acheke namna hii basi unauhakika kuwa wewe hautambuliwi siku hiyo. Maana yakesho hakuna anayejuwa @@@@@

Safi sana. Hichi kicheko kilikuwa kabla Mheshimiwa Rais hajaelezwa kuwa kuna jipu linatakiwa kutumbuliwa  na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana P. Makonda
Mheshimiwa Rais akipata maelezo ya kina kuhusu Jipu ambalo aliombwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alitumbue. 

Mheshimiwa Rais akitafakari baada ya kuambiwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji ni Jipu. Nazani mnajuwa kilichofwata. Ngoja niishie hapa niseje kutumbuliwa bure.....@@@



Mheshimiwa DKT J.P.Magufuli akizindua daraja




Daraja laKigamboni -Nyerere Bridge
Nice
Daraja lina njia 6.


Ofisi mbalimbali. Kuna Mpaka kituo cha polisi. Safi sana kama Ulaya vile





Hapa unapata maswagga hatari kabisa ya Harusi. Kitu ambacho nimependa ni kitendo cha Mheshimiwa Rais kuweka wazi kabisa kuwa inaruhusiwa kupiga picha za harusi kwa kulipia. kwa maneno mengine moja ya mapato ya daraja ni pamoja na watu kulipia kupiga picha za harusi. Maana kweli asingeweka wazi hili kama kawaida wabongo wangekuwa wana watoza watu hela na zinaingia mifukoni mwao
Hapa panafa picha za Pre wedding. 

Ilibidi tutumie Drone ilikupata picha na video za daraja vizuri

Niliogopa kutoa swagga maana unaweza ku.....



Kikosi Kazi
Kwa Mapicha zaidi zama hapa kwenye Read more























Katibu Mkuu Kiongozi akiwasili

Balozi wa China akiwasili









Hapa Kazi tuu

Mc wa Shuhuli


First Lady. Hakika alipendeza sana






















































































































Mrisho wakunuku



No comments:

Post a Comment