GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, April 15, 2016

Faith Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!Hakika Faith alipendeza sana

Hakika Faith alilitendea haki gauni lake. Safi sana

The Girls
Nice


The Team
Faith akita na Mchumba wake ingawa kwa sasa ni Mr & Mrs. Karibu Tz 
Swagga la Baba Mwenyenyumba


Nice


Swagga la Mama Mwenyenyumba
Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mlimani City
Nimeikubali hii Keki


Safi


Mc wa Shuhuli. Safi sana
Ukumbi kwa Nje. Hapa Nimejikubali
 Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read MoreWaziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya alikuweko

Mze wa Tupogo alikuweko.Safi sana
Faith akiingia ukumbini


Upendo Kwa wazazi
Mke wa Makamu wa kwanza wa Rais Kenya Mama Rachel Ruto

V-Money aka Vanessa . Safi sanaThe FamilyMarafiki wa Faith. Hakika walipendeza sana

Waziri mkuu Mstahafu alikuweko. Mheshimiwa C .Msuya


Swagga la Kata keki Tule....
NdafuMama Rachel Ruto Mke wa Makamu wa kwanza wa Rais Kenya
Neno kutoka kwa Mama

Nice

NiceUpendo kwa Mama

Mrisho wa kunuku. Safi sana DJ Zampo na Peter Moe waliwasha moto