GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, May 10, 2016

Grace's Night! Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Grace alitokelezea. Safi sana
Hakika Grace alilitendea haki gauni lakeNice
Grace akiwa na Matron wake. Safi sana

Grace akiwa na Mchumba wake, ingawa kwa sasa ni Mr & Mrs
The Moment

Lol Kweli wanapendana!!!

The Team

Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye read more
Grace akiingia ukumbiniKeki
Grace akimkabidhi Mheshimiwa Baba Askofu keki. Safi sana

Grace akipata baraka kutoka kwa Baba Askofu 
Nice
Mc Pilipili akifanya yake. Safi sana


Mwisho wa kunuku!