 |
| Gilliard akiwa na mke wake Segolina. Safi sana hakika walipendeza sana |
 |
| I love this. Wow. Upepo ulisaidia kunogesha hi picha |
 |
| Hakuna atakayebisha kuwa segolina alilitendea haki hili gauni lake la harusi. Safi sana |
 |
| Swagga la baba mwenyenyumba |
 |
| Nice |
 |
| Swagga la pamoja Milele |
 |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron |
 |
| Safiii kifamilia zaidi |
 |
| The team |
 |
| The girls |
 |
| Ruka juuuuu. huwa Napendaga sana hili swagga. |
 |
| Safi sana |
Kwa Maswagga zaidi zama hapo kwenye Read More
 |
| Safi! kweli baada ya mikiki mikiki ya kanisani na picha si mbaya ukipozaa koooo. |
 |
| Tukitafuta maswagga |
 |
| Jamani Mwisho wakunuku. Kwaniaba ya GRM Production nawatakia Gilliard and Segolina maisha mema yenye furaha, amani na upendo. |
The wedding is so so nice and I love the combination of colours, congratulation Mr and Mrs Gilliard
ReplyDeleteCongratulations Dears
ReplyDelete