GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 23, 2012

Yaliyojiri ndani ya Heinken Mansion wakati wa Uefa final 2012. Kunywa kidogo!

Dah nimekubali hi Setup

Nice

Bonge la TV


Yani  kuangalia mpira hapa ni kama uko uwanjani


Nimekubali hili swagga


Unacheki game huku nawewe unacheza game. Dah nimemkubali huyu dadaNimekubali baba

Dah simchezo. Kama Nasisi tulikuwa Ujerumani

Mashabiki wa Chelsea wakishangilia ushindiDah Ku.....dadadeki Kamiss dahh 

Goooooooooal!Dah Hongereni Chelsea na Mwisho wakunuku