GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, May 28, 2012

The wedding of Jimmy and Jenifa. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Jimmy and Jenifa. Safi sana. hakika mlipendeza sana

Nice

Maharusi wakiwa na Bestman na Matron

In Love
Dah Kama Mheshimiwa JK Hakika Jenifa ulilitendea haki Gauni lako

Dah siamini kama ile ndoto yangu imetimia. Nahisi jimmy ndivyo alivyokuwa anasema kimoyomoyoKanisa walipofungia pingu. Azania

Maswagga ya nje yakanisaKanisa kwa ndani. Dah hapa nilijipinda
Gari lililobeba maharusiUpendo kwa wazazi

Hakika mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Brigade M-Lugalo
Keki
Kama Kawa Tulifunga Plazma-Samsung 50 Inc


Nimekubali hili swagga la Bi Harusi

Dada akiwakilisha machozi band

Machozi BandDah huyukijana wangu aliniwacha hoi na hili swagga. Situngefunga Craine!

Safi sana napendaga sana napokutana na maharusi wangu. Naona Ndoa imejibu! Safi sana


Jamani mwisho wakunuku.