GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, May 11, 2012

Romana and Monica Nite- Double Impact. Na beep kidogo tu

Safi sana hakika mlipendeza Romana na Monica. Najuwa wadau mnajiuliza kwanini Double impact ? jibu Wote walikuwa ni mabi Harusi watarajiwa.  Hapa hakuna cha matron

Nimekubali Romana na monika kuamua kufanya sherehe moja. 

Bi harusi mtarajiwa akitowa swagga

Nice hakika mlipendeza sana. Wadau naomba mnisamehe mpaka napo kwenda mitamboni sasa sijakumbuka Romana ni yupi na monica ni yupi!


Nice

Romana na MonicaBi harusi mtarajiwa akitowa swaggaMaharusi watarajiwa wakiingia ukumbini


Mila ikidumishwa. Hapa nakumbuka mume mtarajiwa aliogopa kuona mchumba wake anakabiziwa panga

Wake watarajiwa wakilishana keki

Upendo kwa wazazi


Hakunaga zaidi yangu mi nawe hakunaga.......!

NdafuMpaka chini mpaka chini


Bi harusi mtarajiwa akimtambulisha mume wake mtarajiwa


Bi harusi mtarajiwa akimtambulisha mume wake mtarajiwa

Maharusi watarajiwa . Safi sana

Kila mtu alitowa swagga lakeSafi sana

Dah safi sana na Hongereni. Nazani unajuwa kwanini nasema hongera. Nafurahi sana nikiwaona maharusi wetu wakiwa pamoja.
Nice

safi
Mwisho wa kunuku