GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 3, 2015

The Wedding of Faraja & Gwantwa. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!Hakika Faraja & Gwantwa walitokelezea. Safi sana


NiceSwagga la Kuchikuchi ....
Aksante Mungu kwa kunipa ...
Hakika Biharusi alilitendea haki gauni lake. Safi sana


Swagga la Baba Mwenye Nyumba


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read moreThe Team
Swagga la Ruka Juu

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more


kama kawa  Maznat Bridal Care alimtendea haki


Pingu za maisha


Upendo kwa wazaziMrisho wa kunuku