GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, February 18, 2011

Hayawi Hayawi sasa yamekuwa. Hongera sana Eineus Kaijege na Claudia Kyaruzi kwakuwa Mwili Mmoja. Kwawale ambao hawakuweza kuhuzuria kwenye harusi basi kaa mkao wakula. Nawa Beep kidogo tuu jinsi mambo yalivyokuwa

Eineus Kaijage na my wife wake Claudia Kyaruzi

Safi sana hakika mmependezaNice

Maharusi wakiwa na wapambe wao

Bi Claudia hakika umependeza


Safi sanaMaharusi wakiingia kanisani

Gari lililobeba maharusi

Kanisa walilofungia pingu

Maharusi wakitandikana Pingu

Eineus akimtandika pingu Claudia

Claudia akimtandika pingu EineusPingu walizotandikana

Bwana Harusi akisine mkataba wakuishi pamoja huku baba paroko akiwa makini kabisa

Bibi harusi nae akasine.

Wakakabiziwa mikataba yao. 

Bi harusi akikata keki

Wageni waalikwa wakiserebuka

Pia kulikuwa na burudani zakufa mtuu

Wakati wa zawadi

Kamati ya Harusi

Bwana Harusi akimlisha Mke wake. Wenye wivu wajinyonge.