![]() |
Kwakweli visura wameiva sasa. Yani ni full swagga. |
![]() |
Safi sana. Visura kaeni mkao wakula kwani jumamosi nakuja kufanya photo shoot. Nataka swagga zakufa mtu |
![]() |
Naona mnatisha. nice. |
![]() |
Kisura katikati akiwa na black fox models |
![]() |
Visura wakiwa na matron wao. safi |
![]() |
Namuona MC wa shuhuli dada Jokate akiwa on set |
![]() |
Kamua dada |
![]() |
Naona hapa anatendea haki Clauds TV |
![]() |
Presenter wa kipindi chetu cha kisura. Safi sana |
![]() |
Jokate akifanyiwa makeup |
![]() |
Auncle na waandaaji washuhuli yenyewe |
![]() |
Jokate akiwa kazini. Kaeni mkao wakula nitawaletea mambo yalivyokuwa. Kwa maana nyingine jinsi Visura walivyotendea haki hili onyesho. |
No comments:
Post a Comment