GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, February 5, 2011

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye 35 mm Adaptor kwa ajili yakurekodia video imewasili. Hakika huu mwaka 2011 lazima tuutende haki.

Lusubilo, Karabani na Ford wakiangalia 35 mm baada ya kufunga kwenye Camera

Director Nago akitowa maelekezo kwa Lusubilo. Camera man wangu

Dah simchezo hapa ni full 3D

Sisi kama GRM Production kunamovie tunaipika. Tangu mwaka jana tumeanza kuitengeneza. Kaeni mkao wakula manake sitaki kusema sana mtajionea wenyewe.