GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, February 12, 2011

Hatimaye Edson na Magreth Wafunga pingu za maisha. Ngoja niwaonjeshe kidogo mambo yalivyojiri.

Edson na My wife wake Magreth. 

Safi sanaBi Harusi Magreth na Matron Wake. Safi sana

Nice

Maharusi na Wasimamizi wao

Bwana Harusi na Best Man

Best man na Matron nao walitowa swaggaKanisa walilofungia pingu St Albans 

Maharusi wakisoma neno takatifu

Edson akimtandika pingu Magreth

Pingu

Edson nae akitandikwa Pingu

Kama Unavyojuwa huu ni msimu wa harusi. Basi wakati tuko kanisani nilikutana na hawa maharusi. Bahati mbaya sikuweza pata majina yao. Kweli wamependeza. 

Hata hawa nao walikuweko na walipigana pingu za maisha.

Maharusi wakipewa neno


Edson akisine mkataba wa kuishi pamoja

Magreth akisine mkataba wa kuishi pamoja


Hapa namuona Edson akiupitia mkataba. Sasa kwani ulisine bila kusoma? Naona alikuwa anakiangalia kile kifungu kinachosema. Mpaka kifo kiwatenganishe.

Naona Best man akawa anatowa muongozo. 


Baada ya Kutandikana pingu wakatoka kwa FurahaKeki ya Harusi. Reception New Africa Hotel