![]() |
Alikiba akiwa location |
![]() |
Akikiba akimuelekeza bibi nini chakufanya kabla hatujaanza kurekodi |
![]() |
Kijana wangu lusubilo akifunga kamera kwenye Craine |
![]() |
Full wanakijiji |
![]() |
Kwakweli huyu jama anajuwa kuigiza. Itabidi nimtafutie movie faster. |
![]() |
Alikiba akiwasiliana na wadau nakumbuka alikuwa anasema jamani nimeshafika location nyie mkowapi sisi tunaanza. |
![]() |
Alikiba akiangalia baadhi ya Video clip zilizo rekodiwa |
![]() |
Lusubilo, Ramson na karabani kakishauriana |
![]() |
Karabani na lusubilo wakiwa makini kabisa |
![]() |
Safi sana kamua baba |
![]() |
Mzigo ukiendelea kurekodiwa |
![]() |
Duh simchezo naisubiri hi video kwahamu |
![]() |
Safi sana |
mmejipanga kwa kila kitu..salute
ReplyDelete