![]() |
| Alikiba akiwa location |
![]() |
| Akikiba akimuelekeza bibi nini chakufanya kabla hatujaanza kurekodi |
![]() |
| Kijana wangu lusubilo akifunga kamera kwenye Craine |
![]() |
| Full wanakijiji |
![]() |
| Kwakweli huyu jama anajuwa kuigiza. Itabidi nimtafutie movie faster. |
![]() |
| Alikiba akiwasiliana na wadau nakumbuka alikuwa anasema jamani nimeshafika location nyie mkowapi sisi tunaanza. |
![]() |
| Alikiba akiangalia baadhi ya Video clip zilizo rekodiwa |
![]() |
| Lusubilo, Ramson na karabani kakishauriana |
![]() |
| Karabani na lusubilo wakiwa makini kabisa |
![]() |
| Safi sana kamua baba |
![]() |
| Mzigo ukiendelea kurekodiwa |
![]() |
| Duh simchezo naisubiri hi video kwahamu |
![]() |
| Safi sana |






























mmejipanga kwa kila kitu..salute
ReplyDelete