GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, November 17, 2015

The Wedding of Flavian & Norah. Coming soon. Onja Kidogo chakula bado kiko jikoni

Hakika Flavian na Norah Walitokelezea. Safi sana

Hongera sana Flavian na Norah

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa M-Tower hapa Sayansi. Yani ukitoka kwenye shuhuli unashuka Chini unaingia Maisha Club kwa ajili ya After Party lol
Nimekubali hi keki

Mwisho wakunuku kwa Leo. Chakula Bado kiko Jikoni