GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, November 3, 2015

The Wedding of Emmanuel & Ndeonasia. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Emmanuel na Ndeonasia walipendeza sanaNice


Hakika Ndeonasia alilitendea haki gauni lake la Harusi. Safi sana


Swagga la baba Mwenye Nyumba


The TeamMaharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron

 Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye Read moreUpendo kwa wazaziPingu za maisha

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mlimani city


Nimekubali hi Keki ya harusi. Safi sana
Maharusi wakiingia ukumbini. Safi sana. Kudumisha mila. Una ria Mbege kidogo

Ndafu


First Dance


First dance

Mwisho wakunuku