![]() |
| Hakika Sophia alipendeza sana. |
| Nice |
| Hakika Sophia alilitendea haki gauni lake |
| Kama Kawa Glam Madam alimtendea haki Sophia |
| Nice |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
| Upendo kwa Wazazi |
| Safi |
| Upendo Kwa Mama |
| Sophia akiwa na Mchumba wake ingawa kwa sasa ni Mr & Mrs. Hongera sana |
| Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Lugalo. Safi sana |
| Sophia akiingia ukumbini |
| Mc wa shuhuli E Kibonde |
| Dah Nimeikubali hii Keki |
| Tumezoea kuona Bibi harusi mtarajiwa akimpa zawadi mchumba wake ila kwa hapa Bwana harusi mtarajiwa ndio kampa zawadi mke wake mtarajiwa. Safi sana |
| Mwisho wa kunuku |

No comments:
Post a Comment