GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, November 25, 2015

Grace C. M. Ladie's Party! Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!


Hakika Grace alipendeza 

Nice
Hakika Grace alilitendea haki gauni leke. Safi sana

Upendo kwa Mama . Lol kweli naomba nichukue nafasi hii kumpongeza Mama Mzazi wa Grace kwa kumlea binti na kumfikisha hapa. Yani nilizani mama Grace ni Matron.  Kweli mpaka naingia mitamboni sijajua siri ya urembo na jinsi mama alivyojimaintaine mwili. Sizani kama ni mazoezi tuu...@@@ Hongera sana

Upendo kwa Mama
Safi sana Dada. Yani nikikuonaga kwenye shuhuli najuwa kila kitu kiko sawa.
The Girls

Kitu cha Gold. mambo ya Cinderella . Safi sana

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa mlimani cityNimekubali hii keki ya Harusi
Zawadi alizopewa Grace. Safi sanaKudumisha mila.  Binti akiwa anaolewa huwa anapewa zawadi ya Kitanda. Lol kweli nimekikubali hichi kitanda. Sio Kama vile vyetu vya Squre . Kitanda cha Round lolNazani Mume wa Grace ndio atakuwa anakaa kwenye hichi kiti wakati anaangalia mpira. Sasa sijui atapataje viza ya kwenda kuangalia mpira Bar kwenye viti vya plastiki wakati ameacha hichi kiti nyumbani na DSTV Explora

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Keki

Upendo kwa MamaMwisho wakunuku