GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, May 27, 2014

UEFA Champions League. Cheki jinsi wadau wa Heineken walivyo angalia UEFA final kwa hisani ya Heineken Tanzania

    
Venue:           Goldern Tulip Hotel
Sponsor:        Heineken Tanzania
Photograph:   GRM Production
Drink:             Heineken BeerUkumbi wa Goldern Tulip

Heineken DJ akifanya mambo yake. Namkubali sana.

Ilikuwa kila unapoingia kuangalia match kabla haujaka unatandikwa Heineken moja ya baridiiiiiii. Basi nikaona ngoja ni 'iphotoe' kabla sijaishuhulikia


Mc wa shuhuli E-Kibonde. Safi sana
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read moreThe Big Boss wa Heineken. Dah safi sana Mr UcheNimependa suti ya Heineken.Wadau wakishangilia lile goli ya kwanza la Atletico Madrid. Wangejuwa mambo yanabadilika wange kaa kimya tuuu

Mashabiki wa Real Madrid walipopata matumaini ya Ubingwa.  Kwa kweli zile dakika 90 za mwanzao watu walikuwa wapole kama wamemwagiwa maji

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more

Mwisho wakunuku