 |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal ndie alikuwa mgeni rasmi. |
 |
Safi |
 |
Makamu huwa anapendezaga sana kwenye picha |
 |
Nilipenda hotuba yake. Nitawaletea next week.
|
Kwa picha zaidi zama hapa kwenye Read more
kwa Picha zaidi zama hapa kwenye Read more
 |
Zawadi kwa Mgeni rasmi |
 |
Wakandarasi |
 |
Kweli nimependa jinsi wakandarasi walivyo anzisha utaratibu wa kula kiapo. Sasa inabidi na sisi wapiga picha tuanze kula kiapo! |
 |
Naona Eng Muhegi akila kiapo. Safi sana |
 |
Mheshimiwa akila kiapo. Sasa wale wakandarasi wanaojenga majengo chini ya kiwango wajipange. |
Kwa picha zaidi zama hapa kwenye read more
 |
Vijana wangu wakiwa kazini |
 |
Mwisho wakunuku Day 1 |
No comments:
Post a Comment