![]() |
Hakika William na Kemi walipendeza sana. |
![]() |
Nice nimekubali swagga la farasi. Only in Moshi |
![]() |
The Moment |
![]() |
Hakika Kemi alilitendea haki gaunilake la harusi |
![]() |
Nice |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron |
![]() |
The Girls |
![]() |
Swagga ndani ya Jiji la Moshi |
![]() |
Nice |
![]() |
Upendo kwa Mama |
![]() |
Upendo kwa wazazi |
![]() |
Dah Nimefurahi kumuona Askofu Shao. Dah nakumbuka yeye ndiye alinibatiza enzi hizo. |
![]() |
Keki |
![]() |
Ndafu |
![]() |
Upendo kwa wazazi |
![]() |
Safi. |
![]() |
Safi. burudani. |
![]() |
Jamani Mwisho wa kunuku. Wadau wa GRM production nawatakia weekend njema |
No comments:
Post a Comment