GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 7, 2014

Dorka Catering. Dah namkubali sana huyu Dada kwa mambo ya msosi kwenye sherehe au shuhuli mbalimbali!

Mama wa Bufee. Kweli Dorothy Kansolele  aka Dorka  namkubali sana kwenye mambo ya msosi. Kuanzia jinsi anavyo set meza mpaka chakula chenyewe.

Safi sana dada. Ukitaka kuwasiliana na Dorka basi mtwangie simu
0718 661 705

Kweli nimependa jinsi Dada Dorka anavyo set meza. Kwa mfano kila mgeni mualikwa mmoja anakuwa na vitu vifuatavyo mezani  Glass moja ya wine, glass ya kunywea maji au bia, uma na kisu na kijiko cha chakula kwa wale ambao hawajui kutumia Uma na kisu. Mtu anakuwa na full option.  Sasa wakati mwingine unakwenda kwenye shuhuli mezani haukuti hata glass.  Glass unapewa kama tu utakunywa wine au vivywaji vikali au Juice. Bia, maji  au soda unapiga tarumbeta , hi ni soooo!!. Watu wengi huwa wanasahau mambo ya glass wanazani ukiwa na vinyaji basi umemaliza lazima tufikirie  watu watakunywaje hivyo vinywaji.

Hivi ukiingia kwenye shuhuli ukiona meza imeka kama kwenye hi picha si unajuwa tu hapa vinyaji na chakula vipo vya kumwaga? hebu fikiria kama kungekuwa na hilo uwa tu mezani!


Dah namtamanije huyu samaki. Baada ya kuona hi picha tu nazani leo lazima lunch iwe samaki. 

Sio mbaya na mimi nikijikubali kidogo hapa . Maana hi ni bonge ya buffe hope nimeitendea haki!Mwisho wakunuku. Dorka keep it up Dada. Safi sana