GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 6, 2014

GRM Production yaweka history Tanzania na Afrika Mashariki kwa kuwa Kampuni ya kwanza kwenda Wireless !

Hatimaye ndoto yetu ya kwenda Wireless kwenye mambo ya video production imetimia. Hi technlogy inauwezo wa kurusha picha na sauti Mita 400. Kwahiyo  kama mtu akishindwa  kuja ukumbini kushuhudia shuhuli basi tunaweza kumuwezesha ukashuhudia shuhuli akiwa nyumbani. Tunafunga receiver kwenye TV yake nyumbani na anaona kila kitu live plus sauti. Kweli lazima mtu uende na teknologia. Sasa kama Nchi imekwenda Digital kwanini na sisi watu wa video production tusibadilike??? 'Waya hazikubaliki wireless ni mpango mzima'

Kwakweli nilikuwa na yachukia haya mawaya mekundu sana(AV) ila kwa sasa ni mambo ya wireless.  Yani kutandaza waya ukumbi mzima ilikuwa ni kazi jamani. Alafu wakati mwingine hizi waya zinakuwa kero, mfano mtu anaweza kujikwa akaanguka na pia usipo ziweka vizuri zinaweza kuonekana kama zina chafua ukumbi.

Kijana wangu akiset wireless 


Tecknologia ya Wireless ikifanya kazi

Kwaheri . Sasa kilichobaki ni kwenye camera kwenda wireless.  Mpaka Sept 2014 na camera itakuwa wireless. 

Control center yetu baada ya technology ya wireless. Hapa tulikuwa tumefunga plasma TV 12 , Plus laptop na Ipad kwa ajili ya presentation. Ingekuwa hatuna Wireless hi meza isingeonekana hivyo, ingekuwa imeja mawaya balaaaMzigo mpya huoNikiwa na set mambo. Kweli kazi imekuwa rahisi ila inaitaji akili.


Wireless ni mpango mzima waya hazikubaliki