![]() |
Dar Rapid Transit Agency-Market Consultation Session for Phase 1 |
![]() |
Waziri mkuu Mizengo pinda ndiye alikuwa mgeni rasmi. Alifungua mkutano wa majadiliano wa kutangaza mradi wa mabasi yaendayo haraka kwenye ukumbi wa Mlimani city. |
![]() |
![]() |
Safi |
![]() |
Mku wa Mkoa wa DSM akimpa maelezo Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Hawa Ghasia |
![]() |
Mkurugenzi wa Dart. Safi sana. |
![]() |
Mc au Mratibu wa mkutano |
Kwa Picha zaidi zama hapa kwenye Read more
![]() |
Wadau na wawekezaji kwenye sekta ya Usafiri. |
![]() |
Waziri Mkuu akitowa maelekezo. |
![]() |
'Mradi uanze maramoja. Nataka kuyaona hayo mabasi barabarani' |
![]() |
Kituo cha kimara. Safi sana kweli Dart wanahitaji pongezi. Jiji la Dar es salaam limebadilika |
![]() |
Hapa ni kimara |
![]() |
Ubungo |
![]() |
Kituo cha kigamboni cha mabasi yaendayo kasi |
![]() |
kigamboni |
![]() |
Wawekezaji wazawa!!!!kwenye sekta ya usafiri |
![]() |
Mwisho wakunuku |
No comments:
Post a Comment