GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, June 19, 2014

Jasmine Night onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Jasmine alitokelezea. Safi sana

Nice
Hakuna atakaye bisha kuwa Jasmine alilitendea haki gauni lake. 
Duu nimelikubali hili gauni


Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Safi
Jasmine akiwa na Matron wake. Safi sana
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa mlimani city


Nimekubali hi kekikwa picha zaidi zama hapa kwenye read more


Sisters
Upendo kwa MamaTesting


Jasmine akiingia ukumbiniMC wa shuhuli. Safi sana

Mwisho wa kunuku!