GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 27, 2014

The Wedding of Luckson and Rosemary. Onja kidogo chakula bado kilo jikoni!

Mwenye macho huwa  haambiwi tazama. Hakika Luckson na Rosemary walipendeza sana!

Nice

The Moment
Swagga la 3D

The BoysHarusi ilifanyikia katika ukumbi wa Mlimani City. kama kawaida keki ilikuwa chini ya dada Monica. 

Kama kawaida mapambo yalikuwa chini ya Hugodomingo. Safi sana
Table Setup na chakula ni Dorka-dorkacatering. aka Dada wa Protocol
Nimelipenda hili swagga 

Jamani Mwisho wakunuku. Ndio kwanza ninawasha jiko nipike.