GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 27, 2014

The Wedding of Jimmy and Monica. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Jimmy and Monica walitokelezea. Safi sana

Nice

The Moment
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao bestman and Matron
Team Wanaume kazi wakitowa swagga na Maharusi
Bestman and Matron wakikumbukia enzi hizo walipofunga pingu

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read moreUpendo kwa wazazi


Mwisho wakunuku