![]() |
Mwali |
![]() |
Naibu waziri akitowa swagga. Niyeye , waziri mku na Mheshimiwa rais ndio waliruhusiwa kulishika kombe. Watu wengine hawaruhusiwi unakula kwa macho tu! |
![]() |
Mheshimiwa akitowa swagga |
![]() |
Kijana wangu Noel Njau akitowa swagga |
![]() |
Dah simchezo kweli hi ni bahati yakipeke sana. Namimi nikatowa swagga hakuna Andunje |
![]() |
Ma MC wa Shuhuli |
![]() |
Ni me beep kidogo jamani kazi bado inaendelea |
No comments:
Post a Comment