![]() |
Bi Harusi Mtarajiwa Naomi. Hakika Ulipendeza sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Naomi akiwa na Matron wake. Safi sana |
![]() |
Hakika Wapambaji waliutendea haki ukumbi wa Diamond VIP. Thanks to Lotus |
![]() |
Naomi akiingia ukumbini |
![]() |
MC wa shuhuli alikuwa Dr Cheni |
![]() |
Keki |
![]() |
Mwenye kiti wakamati. Safi sana |
![]() |
Upendo kwa wazazi |
![]() |
Inapendeza sana pale Mheshimiwa anapolisakata rumba |
![]() |
Huwa nafurahi nikienda kwenye shuhuli na kumkuta mama yetu T-Pinda au Mke wa mtoto wa Mkulima. Anajuwa kusakata rumba. Chezea uone. Nakumbuka hapa ilikuwa Hakunaga..... |
![]() |
Safi sana Mheshimiwa |
![]() |
Mume Mtarajiwa wa Naomi akiwa na Best man Mtarajiwa |
![]() |
Jamani chakula bado kiko jikoni. Nawatakia weekend Njema |
No comments:
Post a Comment