GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, March 6, 2012

Nilikutana na hu 'ubunifu' wa Kemi Kalikawe weekend hi. Hongera sana Dada. Hebu onjeni kidogo wadau. Event ilifanyika Sea Cliff


Dah Nimekubali. Nasikia mamodel wengine walitoka Ufaransa, UK na USA. Safi sana

Jamani Mwisho wakunuku. Nikipata muda nitawaletea Part 2