GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, March 26, 2012

Asha Lady's Party. Na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyo jiri. Chakula bado kiko jikoni

Asha Kulwa Kapuya hakika ulipendeza sana

Nice


Safi
Mwanamke jicho!
Upendo kwa mama

Upendo kwa mama


Asha akiwa na First Lady Mama S. K. Safi sana


NiceSafi sana

Nice


Asha akiwa na Mke wa waziri mku Msaafu Mheshimiwa E. Lowasa. Safi sana
The Family
Nice
Hakika Mpambaji naye alijitaidi sana
Asha akiingia ukumbini. Mwanamke lazima uwe na aibu ! Safi

Nice

First Lady akiwasili


Nimekubali

Mke wa Mtoto wa Mkulima akiwasili-Mama T. Pinda.Safi sana


Nice

Safi

Mke wa Mheshimiwa G Bilali. Makamu wa Rais  akiwasili

Nice

Nimekubali mheshimiwa

Keki

Namuona Mheshimiwa Hawa G

MC wa shuhuli


Mama wa Bi harusi mtarajiwa safi sana
Jamani kwa leo naomba niishie hapa.  GRM inakutakia Bi Asha na familia yako maadalizi mema ya shuhuli ya Sendoff na Harusi. All the best