GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, March 13, 2012

Safari Lager Nyamachoma 2012. Dah Simchezo nilikulaje nyama!

Mgeni rasmi akitowa hotuba fupi. Aliye vaa kaunda nyeusi na Kushoto kwake ni manager wa Safari lager  . Nilipenda hotuba ya mgeni rasmi. alivyo anza 'Ndugu wananchi safari lager ni tamu'

Wataalamu wa nyama choma Dar es salaam

Wadau wa nyama choma hapa namuona Godi aka Makoo akiwa na Albert aka Kada

Mdau kamche akichagua nyama

Namimi wazee wa Meeda walinipa mguu wa mbuzi kama zawadi. Safi sana nilikulaje. Huwa napendaga kupata lunch kwa hawa wataalamu Sinza Mori


Majaji wa Shindano la Safari Nyama choma 2012

Mama Matunda

Dah Chezea Kisuma Bar

Dah nimekubali hawa jamaa wa Kisuma. Itabidi sikumoja nifunge safari mpaka Temeke nikapate nyama

Kisuma Bar ndio wamekuwa mabingwa wa Safari Lager Nyama choma 2012


Wadau wakitowa shoo

Godi akitowa swagga. Janami hichi kinywaji huwa nakipenda sana.

Furaha baada ya kutangazwa mabingwa wa nyama choma 

Kisuma BarDah nimekubali

Pia wadau hawa walialikwa kuja kuangalia mambo yanavyokuwaga


Mshindi watano

Meeda walikuwa washindi wanne. Jamani najuwa mshindi wanne na wakwanza kwasababu  ilikuwa kazi na dawa . Sasa naona kamemori kamepotea kidogo. Kweli safari sio mchezoMshindi watatu

Mabingwa wa nyamachoma 2012 Kisuma Bar

Bar zilizoingia tano Bora


 Dah V8 or Kilimokwanza

Nimekuali

Safi sana mdau akiwa makini maana ilikuwa 'Bampa to Bampa' kwasababu Mafisi walikuwa wengi. 


Mkurugenzi wa Kisuma bar akitowa shukwani kwa wadau . Jamani Mwisho wakunuku!